Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa kilimo Mithika Linturi, alifika katika bunge la seneti kujibu maswali mbali mbali yaliyoibuliwa na maseneta na ambayo yanahusu wizara yake. Seneta Joyce Korir alitaka kujua mikakati iliyowekwa na…