Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa usalama wa kitaifa Professa Kithure Kindiki ameteua kamati itakayosimamia utekelezaji wa mapendekezo ya idara ya polisi yaliyopendekezwa na jopokazi la David Maraga. Kamati hiyo itaongozwa na Katibu wa…