Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Afya Aden Duale leo amezozana na mbunge wa Kitutu Chache Anthony Kibagendi katika kikao cha kamati ya bunge kuhusu Afya. Kulingana na video zilizosambaa mitandaoni, Kibagendi alianza kwa…