Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Uhispania ilinyakua kombe la ligi ya mataifa ya Ulaya baada ya kuilemea Croatia mabao 5-4 kupitia matuta ya penalti kufuatia sare tasa katika dakika 120. Fainali hiyo ilipigwa Jumapili usiku…