Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mahakama ya rufaa imefutilia mbali uamuzi wa mahakama kuu wa Machi 17 mwaka jana na Jaji Mugambi ulioamrisha waafisa wa kamati kuu ya chama cha Riadha Kenya – AK, kung'atuka…