Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mchekeshaji na mwanaharakati Eric Omondi ameorodhesha hatua kadhaa ambazo angechukua iwapo angekuwa Rais wa nchi hii. Kwenye video aliyochapisha, Omondi anaonekana akihojiwa na mwanahabari wa mitandaoni ambapo anasema hatua ya…