Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ameomba raia wa Tanzania wazingatie amani na sheria na wadau wa siasa wakumbatie majadiliano na kuvumiliana wanapotafuta suluhu kwa tatizo lililopo sasa ili kulinda demokrasia na uthabiti.