Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Vijana 37 wameripotiwa kufariki kufuatia mkanyagano uliotokea katika uwanja mmoja wa michezo jijini Brazzaville nchini Congo. Kulingana na ripoti rasmi, mkasa huo ulitokea usiku wa Jumatatu Novemba 20, 2023, katika…