Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Timu ya Kenya ya raga kwa wanawake saba kila upande imeichachafya Colombia alama 12-5, katika nusu fainali ya mkondo wa pili wa mashindano ya HSBC Sevens Challenger mjini Cape Town,…