Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), imetangaza zawadi ya kitita cha shilingi Milioni moja kwa yeyote atakayetoa habari zitakazofanikisha kukamatwa kwa Collins Jumaisi Khalusha, ambaye ni mshukiwa mkuu…