Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Baraza la magavana lilitoa mwaliko kwa maafisa wa chama cha maafisa kliniki nchini KUCO kwa mazungumzo ya kujaribu kutatua masuala yaliyosababisha mgomo ulioanza leo. Kupitia barua iliyochapishwa na chama cha…