Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanaisasa wanaogemea mrengo unaoongozwa na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, walizuiwa kufanya mkutano wa kisiasa waliopanga Jumapili katika eneo la Subukia, kaunti ya Nakuru. Wakiongozwa na naibu Mwenyekiti wa chama…