Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Raia wa China aliyemdhulumu mkenya katika kiwanda cha TCM jijini Eldoret, amefutwa kazi. Hayo yamethibitishwa na ubalozi wa China nchini Kenya. Kupitia kwa taarifa, ubalozi huo ulielezea kusikitishwa kwake na tukio…