Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Watoto wengi nchini wanapitia dhuluma za aina tofauti licha ya kuwepo sheria za kuwalinda. Dhuluma za kimapenzi zikitajwa kuwa juu hasa misimu ya likizo. https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/e61b668b-110a-4924-af8f-d0e31ea8bae8