Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Msajili mkuu wa idara ya mahakama Bi. Winfridah B. Mokaya jana katika majengo ya mahakama ya upeo nchini jijini Nairobi, alimpokea Ibrahim Ramadhan Omar, kamanda mpya wa kitengo cha polisi…