Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi (KDF) Jenerali Charles Kahariri, amewaonya wanajeshi dhidi ya kujihusisha na ufisadi wakati wa zoezi la kuwasajili makurutu wanaojiunga na jeshi. Kahariri alisema afisa yeyote wa…