Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Dozi 10,700 za Modified Vaccinia Ankara-Bavarian Nordic (MVA-BN) zimewasili ili kusaidia kukabiliama na mlipuko wa ugonjwa wa Mpox humu nchini. Wizara ya Afya inasema chanjo hizo zilipokelewa nchini kutokana na…