Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto sasa anasema kuna haja kwa dunia kufanyia mabadiliko mifumo yake ya namna inavyozalisha na kuchakata chakula. Ruto amesisitiza umuhimu wa kutoa fedha za kuwasaidia wakulima wadogo wadogo…