Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mpango wa kubinafsisha mashirika kadhaa ya serikali umesimamishwa kwa muda na mahakama kuu. Katika kesi iliyowasilishwa na chama cha ODM kinachoongozwa na Raila Odinga, mahakama hiyo ilitangaza kusimamishwa kwa mpango…