Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Aliyekuwa afisa msimamizi wa kituo cha polisi cha Central Samson Kiprotich Talaam na washtakiwa wenza katika kesi ya mauaji ya Albert Ojwang, wamepata pigo baada ya mahakama kuu kuwanyima dhamana.…