Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Karani wa Bunge la Taifa Samuel Njoroge amesema ofisi za maeneo bunge zitaanza kutumiwa kuandaa vikao vya ushiriki wa umma. Njoroge amesema mipango inafanywa kuwezesha kutekelezwa kwa mpango huo. “Katika…