Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanahabari mjini Kiambu wameandamana leo Jumatano kulalamikia kupigwa risasi kwa mwenzao mjini Nakuru wakati wa maandamano ya vijana wa Gen Z jana Jumanne. Wamelaani vikali kupigwa risasi kwa mwanahabari wa…