Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Seneta wa kaunti ya Nandi Samson Cherargei amesema serikali itakata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama kuu uliotolewa leo Jumatatu mchana. Katika uamuzi huo, mahakama kuu ilitaja uteuzi wa makatibu…