Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanamuziki wa mtindo wa rap nchini Marekani Cardi B anaripotiwa kukubali mpango wa kushangaza wa kugawana mali anapotafuta kuachana na baba ya watoto wake na mwanamuziki mwenza Offset. Ripoti zinaashiria…