Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Baraza la katiba la Cameroon limemtangaza Rais aliye madarakani Paul Biya kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais kwa karibu asilimia 54% ya kura. Kwa mujibu wa matokeo rasmi, Biya alipata…