Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Nairobi United watapokea takriban shilingi milioni 51.6, endapo watamaliza katika nafasi ya tatu au nne katika hatua ya makundi na milioni 71 ikiwa watafuzu kwa robo fainali ya kombe hilo.