Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Aden Duale, ambaye alihudumu kama waziri wa ulinzi katika baraza lililovunjwa na Rais William Ruto kabla ya kurejeshwa kwenye wadhifa huo huo amemshukuru Rais kwa kumhamishia wizara nyingine. Kwenye ujumbe…