Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kamati ya Bunge la Taifa kuhusu uteuzi imekataa uteuzi wa Stella Soi Langat kama Waziri wa Jinsia, Utamaduni, Sanaa na Urithi. Wengine 19 walioteuliwa mawaziri na Rais William Ruto wameidhinishwa…