Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto, amechapisha uteuzi wa mawaziri wawili na makatibu 14 kwenye gazeti rasmi la serikali. Uteuzi huo unafuatia hatua ya bunge la kitaifa kuidhinisha kwa kauli moja uteuzi wao…