Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanafunzi kadhaa katika shule ya upili ya Kibokoni kaunti ya Kilifi wamepata majeraha baada ya bweni la wasichana kuteketea leo Alhamisi asubuhi. Stembo Kaviha, mmoja wa waliofika shuleni humo, anasema…