Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chama cha ODM kimelaani vikali hatua ya serikali kuzuia wanafunzi wa shule ya wasichana ya Butere kutoka kaunti ya Kakamega kuwasilisha mchezo wao wa kuigiza wenye kichwa "Echoes of War."…