Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Spika Moses Wetang'ula anaongoza uongozi wa Bunge la Taifa kwenye mkutano wa siku tatu ulioanza leo Alhamisi mjini Mombasa. Mkutano huo ni wa tatu kuwahi kuandaliwa tangu kuasisiwa kwa bunge…