Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanariadha wa Kenya watajitosa uwanjani katika fainali tatu katika siku ya mwisho ya makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani Jumapili usiku mjini Budapest nchini Hungary. Fainali ya kwanza…