Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mabingwa wa Olimpiki Faith Kipyegon, Beatrice Chebet na Emmanuel Wanyonyina mshindi wa nishani ya shaba ya Olimpiki, Faith Cherotich,walitawazwa mabingwa wa Diamond League mwaka huu, katika sikubya pili na ya…