Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Msanii wa muziki nchini Kenya Fredrick Kilonzo Mutinda, maarufu kama Brown Mauzo ametangaza nia ya kuwania wadhifa wa mwakilishi wa wadi ya Kileleshwa katika kaunti ya Nairobi. Kupitia Insta Stories…