Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa China Xi Jinping leo Alhamisi ametoa wito wa kusitishwa kwa vita katika eneo la Gaza na kuzuia kuzidishwa kwa mgogoro nchini Lebanon. Xi ametoa wito huo wakati akihutubia…