Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanaharakati Boniface Mwangi ameachiliwa kwa dhamana binafsi ya shilingi milioni moja. Hii ni baada ya kukanusha mashtaka ya kumiliki silaha bila cheti halali na pia kupatikana na vitoza machozi vitatu.…