Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kamati ya mazungumzo ya maridhiano ya pande zote mbili imekamilisha zoezi la kupokea maoni kutoka kwa wananchi. Tume hiyo sasa inatarajiwa kuanza zoezi la kupekua maoni hayo na kutoa ripoti…