Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi huko Atlanta wamekamata mshukiwa wa wizi wa kazi za muziki za Beyonce ambazo hazikuwa zimezinduliwa rasmi. Kelvin Evans alikamatwa kwa makosa ya kuvunja gari aina ya SUV…