Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mercy wanjau katibu wa baraza la mawaziri humu nchini amesema kwamba Kenya inatambua ujumuishaji wa walemavu. Akizungumza wakati wa kuzinduliwa kwa kongamano la kabla ya kongamano la ulimwengu kuhusu ulemavu…