Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Saa kadhaa baada ya makubaliano ya kusitisha vita kati ya Israel na Hamas kuafikiwa, Wapalestina waliokuwa wametoroka makawao sasa wameanza kurejea kaskazini mwa Gaza. Wanajeshi wa Israel wameanza kuondoka Gaza, …