Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Washukiwa wawili wa mauaji ya mwanariadha Benjamin Kiplagat, watafanyiwa uchunguzi wa akili kabla ya kujibu mashtaka ya mauaji yanayowakabili. Mahakama moja ya Eldoret ilitoa agizo kwamba washukiwa hao David Ekai,…