Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amepongeza China kwa kujitolea kwake kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, hasaa kupitia mradi wa uchukuzi ambao umeboresha miundomsingi nchini Kenya na bara Afrika kwa jumla. Kiongozi wa taifa…