Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bingwa mara mbili wa Dunia na Olimpiki katika mbio za mita 5,000 na 10,000 Beatrice Chebet, siku ya Ijumaa alipokea Shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Kabianga kwa heshima…