Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mahakama Kuu ya Milimani jijini Nairobi imetoa kibali cha kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayeshukiwa kutekeleza mauaji ya mwanamke mmoja mjini Nanyuki, kaunti ya Laikipia mwaka 2012. Jaji Alexander Muteti…