Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kocha wa zamani wa Barcelona Ronald Koeman ameilaumu klabu ya Barcelona kwa jeraha la kiungo wa Uholanzi Frenkie de Jong ambalo limemfanya kukosa kushiriki michuano ya Euro itakayoanza siku ya Ijumaa…