Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga ameondolewa kwenye wadhifa wa Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Magavana, CoG. Hatua hiyo imechukuliwa kwa kauli moja wakati wa mkutano usiokuwa wa kawaida wa baraza…