Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama na mkewe Michelle wamemuunga mkono kwa kauli moja mgombea urais wa chama cha Democratic Kamala Harris. Wakihutubia Kongamano la Kitaifa la chama hicho…