Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Polisi kutoka eneo la Nairobi wamemkamata mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya na kunasa kiwango kikubwa cha bangi. Mshukiwa huyo alikamatwa wakati wa operesheni kali iliyofanyika katika eneo la…