Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Eratus Ethekon ametoa wito wa kupunguzwa kwa gharama za uchaguzi nchini ambazo zimekuwa zikigharimu mabilioni ya pesa miaka nenda miaka rudi.…